JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Sekta binafsi ya ulinzi yapongezwa kwa huduma bora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza usalama wa raia na mali zao hapa nchini. Mkuu wa Ushirikishwaji Jamii wa Jeshi la Polisi…

Nkuna wa Chadema afungiwa kuendesha gari

Na Mwandishi Wetu Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X kuwa ameshambuliwa na watu wasiojulikana mjini Iringa, Vitus Nkuna (29) amefungiwa leseni ya udereva kwa miezi sita. Akizungumza na…

Tamasha la Samia Fashioni Festive kuleta fursa kwa wabunifu mavazi

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es salaam Wabunifu wa mavazi nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza kuonesha kazi zao wanazozifanya ili waweze kujulikana na kuinuka kiuchumi. Ushauri huo umetolewa jana Dar es Salaam mwanzilishi na muandaaji wa Tamasha la Samia Fashion Festival Khadija…

Hezbollah yatoa onyo kali kwa Israel kufuatia ongezeko la mashambulizi

Kundi la Hezbollah limetoa onyo kali kwa Waisraeli kuwataka wakae mbali na maeneo ya kijeshi kaskazini mwa Israel, hatua ambayo inalenga kuokoa maisha yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea. Onyo hilo limekuja baada ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Hezbollah katika eneo…

Kili MediAir yaja na utalii wa anga

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPUNI ya Kili MediAir imesema kuwa pamoja na kutoa huduma ya Uokozi kwa watalii pia inafanya utalii wa anga. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2024 na Daktari wa Uokozi kutoka Kampuni hiyo, Jimmy…