Category: MCHANGANYIKO
Mlongazila kupandikiza meno bandia
Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila inatarajia kufanya kambi maalum ya kupandikiza meno bandia kwa njia ya kisasa itakayofanyika kuanzia Septemba 02 hadi 06, 2024. Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji Dk Godlove Mfuko amesema kambi hiyo itahusisha Madaktari Bingwa wa…
Tanzania, Morocco zafurahia uhusiano
Waziri wa Katiba na Sheria Dk Pindi Chana amesema Tanzania na Morocco zinafurahia uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili uliosaidia kuleta manufaa katika sekta mbalimbali. Akizungumza Dar es Salaam kwenye maadhimisho ya miaka 25 tangu kutawazwa Mfalme…
TAKUKURU kuchunguza miradi ya bil 34/ Tanga
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imeanza uchunguzi wa miradi 79 yenye thamani ya sh Bil 34.5 iliyobainika kuwa na mapungufu katika sekta mbalimbali sambamba na uliyokuwa na mapungufu wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024. Afisa…
Serikali yahitimisha kwa mafanikio zoezi la utoaji elimu ya fedha Mtwara
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Serikali kupitia Wizara ya Fedha imehitimisha mafunzo ya elimu ya fedha Mkoani Mtwara ikiwa ni juhudi za kuimarisha uelewa wa masuala ya kifedha miongoni mwa wananchi. Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Ofisi…