JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli

VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ukweli, haki na kutubu dhambi kwa moyo wa toba ya kweli. Viongozi hao waliyasema hayo katika Ibada za Ijumaa Kuu zilizofanyika…

CHADEMA yathibitisha Lissu kuhamishiwa Gereza la Ukonga

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimethibitisha rasmi mahali alipo Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, ambaye awali iliripotiwa kutoweka kutoka Gereza la Keko bila maelezo yoyote rasmi. Katika taarifa mpya iliyotolewa leo, Aprili 19, 2025, CHADEMA imesema kuwa baada…

Mgogoro wa ardhi JWTZ na wananchi, DC Serengeti awataka kuwa watulivu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serengeti MKUU wa Wilaya ya Serengeti Kemlembe Ruota amesema kuwa wanasubiri taarifa kamili kutoka timu ya uchunguzi ya mgogoro wa ardhi uliopo kwa takribani miaka 17 kati wananchi wa Kata ya Kisaka na Jeshi la Wananchi…

CCM : Wabunge ambao hawakufanya vizuri kwenye majimbo yao wasitarajie msaada

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wabunge ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wala kurudi kwa wananchi, wasitarajie msaada wowote kwa kuwa walishapewa nafasi lakini walishindwa kuitumia ipasavyo. CCM imesisitiza kuwa ili kuhakikisha inapata wagombea ubunge na udiwani wanaokubalika kwa wananchi,…

‘Serikali Zanzibar inawalea watoto wanaotupwa au kutelekezwa ili kupata haki zao’

Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema haitenganishi watoto na familia zao bali watoto wanaotupwa au kutelekezwa Serikali huwachukuwa na kuwalea katika mazingira yanayostahiki ili waweze kupata haki zao za msingi. Kauli imetolewa mwanzoni mwa wiki na Naibu…

Bilioni 13.46 kuleta mageuzi ya kilimo cha umwagiliaji Mangalali

📍NIRC, Iringa Tume ya taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imefanya makabidhiano ya mradi wa ujenzi miundombinu ya umwagiliaji, wenye thamani ya shilingi bilioni 13.46, katika kijiji cha Mangalali, kata ya Ulanda mkoani Iringa. Mradi huo unalenga kuboresha kilimo kwa wakulima zaidi…