Category: MCHANGANYIKO
Serikali kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za uchumi wa Buluu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo kwakutumia rasilimali hizo kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi…
Rais Samia anataka tuongeze mapato ya utalii – Waziri Chana
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na Utalii ikiwa ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya…
Serikali yaweka mkazo kukuza tasnia ya ufugaji kuku
*Vijana Wahimizwa Kujiajiri Kupitia Ufugaji Kuku * Dkt. Biteko Atoa Maagizo kwa Wizara ya Mifugo Kukuza Tasnia ya ufugaji wa Kuku * Watanzania Wahimizwa Kufuga Kibiashara sio Kitamaduni *Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa…
Chalamila awaasa madaktari bingwa wa Samia kufanya tafiti za magonjwa
Na WAF – DSM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameiasa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 35 kuja na majibu ya kitafiti kutoka kwa wagonjwa watakayokuna nayo wakati wa kambi ya siku sita ili…
‘Mwenge wa Uhuru unaitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka Mwenge wa Uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na…
REA yapeleka umeme vitongoji 120 Kigoma
*Rais Samia ametoa shilingi bilioni 14 kutekeleza mradi huo. *Mradi kupeleka umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye majimbo 15 ya Mkoa wa…