JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MOI yatoa ushauri kwa magonjwa ya mifupa, masuala ya lishe katika maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) kwa kutoa elimu kwa magonjwa ya mifupa pamoja na masuala ya lishe. Akizungumza na waandishi wa habari…

Wananchi 387 wapatiwa msaada wa kisheria katika maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WANANCHI 387 wameweza kutembelea katika Banda la Wizara ya Katiba na Sheria lililopo katika maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kupata msaada wa kisheria hususani katika maeneo ya migogoro ya ardhi…

Zaidi ya kampuni 50 zasajiliwa na BRELA maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma ZAIDI ya kampuni 50 zimeweza kusajiliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) katika maonesho ya Kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane). Hayo yamebainishwa na Afisa Kumbukumbu kutoka Brela Faridi Hoza wakati akizungumza…

Wizara ya Afya yawaita wananchi kutembelea banda lao Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MRATIBU wa Mabadiliko ya Tabia katika jamii kutoka Idara ya Kinga Wizara ya Afya, Grace Msemwa ametoa wito kwa wananchi kutembelea banda lao la Wizara ya Afya lililopo katika maonesho ya kitaifa ya Wakulima na…

Bodi ya Bima ya amana yajidhatiti kuimarisha uwazi katika utendaji wa Kampuni za Bima

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Bodi ya Bima ya Amana(DIB)ikiwa na jukumu muhimu katika usimamizi na udhibiti wa sekta ya bima nchini imesema itaendelea kudhibiti , kusimamia na Kufuatilia kampuni zote za bima kuhakikisha zinazingatia sheria na kanuni ili kuweka viwango vya…

THBUB yalaani kitendo cha binti kufanyiwa ukatili na vijana watano

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imelaani kitendo cha video inayosambaa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti na ambapo imesema kitendo hicho sio cha kiungwana na hakikubariki…