Category: MCHANGANYIKO
Mkurugenzi Mkuu REA ahamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewaasa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuokoa gharama na muda, kulinda mazingira na afya zao hasa ikizingatiwa kuwa teknolojia sasa imeboreshwa na gharama yake ni ndogo ikilinganishwa…
Madaktari bingwa wa nyonga kutoa India kufanya upasuaji wa magoti na nyonga Dar
· Ni matunda ya ziara ya Rais Samia India · Wagonjwa nje ya nchi sasa kumiminika kutibiwa hospitali za Tanzania Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salam DAKTARI bingwa wa upasuaji wa magoti na nyonga kutoka hospitali maarufu diniani YASHODA…
Global Education Link kupeleka kundi la kwanza nje ya nchi wiki ijayo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia kuanza kwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali nje ya nchi kuanza masomo hayo kuanzia…
RC Ruvuma awakumbusha viongozi kuzingatia sheria, kanuni ili kurahisisha utendajikazi
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahamed Abbas Ahamed amewataka Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata mkoani Ruvuma kuona umuhimu wa kuwa na usikivu na udadisi katika kujifunza na kujadili masuala mbalimbali ambayo yatawawezesha katika…
TFRA yawataka wakulima kujisajili mapema katika mfumo wao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), imetoa wito kwa Wakulima kujisajili katika mfumo wao pamoja na kutoa taarifa zilizo sahihi ili kuweza kupata mbolea ya ruzuku. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa uzalishaji wa…
Wengi waliotembela banda la GCLA Nanenane wametaka kujua kuhusu DNA, kemikali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MENEJA wa Kanda ya Kati kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Gerald Mollel amesema wengi waliojitokeza katika banda lao la maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) wametaka kufahamu huduma…