Category: MCHANGANYIKO
Kamati ya Bunge ya Bajeti yaahidi kuupa msukumo mradi wa EACOP
📌 Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi 📌 Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 📌 Tanzania kufaidika na shilingi trilioni 2.3 kipindi cha ujenzi na uendeshaji 📌 EACOP yawezesha manunuzi ya USD milioni 462 Na Mwandishi…
JKT kinara wa jumla maonesho ya Nanenane
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeshinda tuzo ya jumla kwenye maonesho ya wakulima(Nanenane)yaliyofanyika kitaifa Dodoma kutokana na ufanisi wake katika kilimo na uthibitisho wa juhudi zake katika kuboresha uzalishaji wa mazao na kuleta maendeleo ya kilimo…
Serikali kuongeza fursa za kidigitali kwa vijana kuleta maendeleo kiuchumi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ifikapo Agosti 12,Serikali imesema itaendelea kuzingatia matumizi ya fursa za kidijitali kwa vijana ili kuwapa fursa ya maendeleo endelevu kwa kuwapatia ujuzi wa kidijitali ili kuleta maendeleo ya kiuchumi na…
NFRA yaanza kutumoa mizani ya kidigitali kupimia mazao
Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) ,umeanza kutumia mfumo wa kidijitali katika kupima mazao ya Nafaka ili kuleta tija kwa wakulima. AFISA Mtendaji Mkuu wa NFRA Dkt.Andrew Komba ameyasema hayo katika maonesho ya wakulima…
TCRA: Ongezeeni umakini katika matumizi ya simu, usifungue link usiyoijua
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja amewataka wananchi kuongeza umakini katika matumizi ya simu za mkononi na mtandao wa intaneti na kutofungua au kutosambaza…
Watakiwa kueneza elimu ya mkataba wa Cites kulinda viumbe hai
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Morogoro Shirika la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF), limewataka wadau wa uhifadhi nchini,kutoa elimu kwa jamii juu ya utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Biashara ya Wanyamapori, mimea iliyo hatarini kutoweka (CITES) kwa maendeleo endelevu…