Category: MCHANGANYIKO
Ujenzi wa daraja la J.P Magufuli upo asilimia 90 ya utekelezaji
Mwonekano wa Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) Kilometa 3.2 linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita kupita Ziwa Victoria na ujenzi wa barabara unganishi ya Kilometa 1.66 ambapo utekelezaji unaendelea na upo asilimia…
NMB kumkabidhi Rais Samia shule, kuwanoa wajasiriamali 700 Kizimkazi Festival 2024
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB, ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700 na kukabidhi Skuli ya Maandalizi ya Tasani, iliyopo Sheia ya…
Tax afungua mazoezi ya Medani, Umoja 2024 ya JWTZ na Jeshi la China
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Stergomena Lawrence Tax, Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda, Wambata Jeshi wa Jeshi Rafiki pamoja na Mabalozi wakishuudia Vikundi vya Makomando Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa…
Polisi Mbeya wapiga ‘stop’ maandamano
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa…
Kusiluka : Vijana ingieni kwenye mfumo wa uchumi kidijitali
Serikali itakazana kuona kwamba Tanzania inapotekeleza Mkakati wa Uchumi wa Kidijiti (2024-2034) vijana wengi waweze kuingia kwenye mifumo wa kidijitali ili wao wawe sehemu ya uchumi wa dunia wa kidijitali ambao unajengwa sasa. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi,…