JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

“Tuna imani na Bunge la Novemba kujadili
Maboresho Sheria ya Habari 2016′

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia UBORESHAJI wa vifungu kinzani vya sheria ya habari utaiwezesha tasnia hiyo kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuchangia kuchochea maendeleo ya sekta hiyo na hata taifa kwa ujumla. Matumaini makubwa yatapatikana endapo muswada wa maboresho ya Sheria…

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike

Tarehe 11 Oktoba ya kila mwaka Tanzania uungana na nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambapo lengo la maadhimisho ni kutoa fursa kwa wadau wanaotekeleza afua za watoto hususani watoto wa…

Wenye umri wa Miaka 50-59 wanogesha riadha SHIMIWI

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga Mchezo wa riadha watu wazima wenye umri wa miaka 50-59 umekuwa kivutio katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara za Serikali, Wakala na Mikoa (SHIMIWI) inayoendelea jijini Tanga. Usemi wa “Yake ni dhahabu” umejidhihirika katika…

RC Ruvuma ataka walioiba vifaa vya ujenzi wafikishwe mahakamani

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas,amemuagiza Kaimu Mkuu wa wilaya ya Nyasa Aziza Mangosongo kupitia kama ya ulinzi na usalama, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani mafundi wa kampuni ya Emirate Builder Co Ltd waliohusika kuiba vifaa vya ujenzi wa…

Serikali yaimarisha mafunzo ya umahiri wa bidhaa za ngozi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha umahiri katika sekta ndogo ya ngozi. Kituo hicho kinachojengwa katika Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kampasi…