JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Chadema imepoteza ushawishi – Dkt. Slaa

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na…

Wizara ya Habari yatiliana saini makubaliano ya uwekezaji na Kampuni ya China

Na Mwandishi wetu, JamuhuriMedia, Dar es salaam Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Oktoba 21, 2024, imetiliana saini makubaliano ya uwekezaji na mafunzo na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielekroniki ya China (CECIS LTD) ambapo kupitia makubaliano…

Vijana zaidi ya 500 kutoka mataifa mbalimbali wajadili haki ya kumiliki ardhi Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Zaidi ya vijana 500 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika Jumatatu wamekutana Jijini Arusha ,Tanzania kujadili namna watakavyoweza kupata fursa na haki ya kumiliki ardhi katika nchi zao, na kuitumia kujikwamua kwenye umaskini. Mkutano ulioandaliwa na…

Mti uliong’olewa kwa upepo mkali wajisimika tena, hofu yatanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Hali ya taharuki imezuka katika kijiji cha Bukabuye, Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera kufuatia mti uliong’oka kwa upepo mkali ndani ya miaka mwili iliyopita na matawi yake kutumika kama kuni, kukutwa umejisimika tena kwenye shimo…

Tanzania, Singapore kuimarisha uhusiano wake

📌 Tanzania na Singapore kuongeza kiwango cha ufanyaji biashara Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda…

Mdomo umemponza Gachagua Kenya

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ni wazi safari yake ya kupoteza wadhifa huo imeiva. Msomaji naamini umefuatilia kwa karibu sakata la kuondolewa madarakani kwa huyu Naibu wa Rais, ambaye bado anaamini mahakama…