Category: MCHANGANYIKO
Mfumo wa PAIS kudhibiti migogoro baina wanyamapori na binadamu Babati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Migogoro baina ya wanyamapori na binadamu imepata tiba baada ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuja na mfumo wa usimamizi wanyama wakali na waharibifu (PAIS) katika Wilaya ya Babati,Mkoa Manyara. Katika mfumo huo, unawezesha wananchi…
Waziri Bashungwa aongoza utiaji saini ujenzi wa daraja la Jangwani
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa ujenzi nnocent Bashungwa leo hii ameongoza hafla ya usainishwaji mikataba ya ujenzi wa daraja la jangwani, Dar es salaam. Mkataba huo umesainiwa mbele ya viongozi mbalimbali wa kiserikali wa mkoa pamoja…
GST kukamilisha upatikanaji wa ithibati vyungu kuyeyushia sampuli za dhahabu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Fedha ya Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), CPA Constantine Mashoko ameitaka Menejimenti ya taasisi hiyo kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Ithibati wa Vyungu…
Kamati ya Bunge yaridhishwa utendajikazi Wizara ya Nishati
๐ Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi ๐Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi…
Shule za Mbeya kufanyiwa ukarabati mkubwa, zitoe mazingira bora ya kujifunzia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, ametangaza mpango mkubwa wa kuboresha miundombinu ya shule za msingi ndani ya jiji hilo, akieleza kuwa hatua hii ni sehemu ya juhudi za kuleta maendeleo endelevu katika…
Watu nane wafariki kwa ajali, wengine 36 wajeruhiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na basi la Asante Rabi alfajiri ya saa 12 Oktoba 22,2024 katika eneo la Ukiriguru Wilaya…