JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kesi ya aliyekuwa kigogo wa PSSSF na wenzake yazidi kurindima

Na Mwandishi wetu JAMHURI. Shahidi wa utetezi,Khalid Kilua katika kesi ya  wizi wa vitu vya dukani vyenye thamani ya Sh 68.4 milioni inayomkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF),Rajabi Kinande na wenzake amedai kuwa alipewa taarifa…

Ridhiwani apendekeza TRC kuweka kituo Magindu ili Wanachalinze wanufaike na SGR

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambae pia ni mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametoa mapendekezo kwa Shirika la Reli Tanzania kuona namna ya kuweka kituo eneo la Magindu katika Reli ya…

Philibert Paschal Foundation Kutoa Elimu Kwa Madereva Bodaboda.

Na Mussa Augustine. Taasisi ya Philibert Paschal Foundation imekua ikitoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Madereva wa pikipiki za kusafirisha abiria(Bodaboda) ikiwa ni jitihada za kuisaidia serikali kupunguza vifo vitokanavyo na ajali za bodaboda zinazotokea mara kwa mara. Akizungumza Dar…

Diwani Athumani Msuya atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Bw….

Viongozi wa vyama siasa leo kujadili mwelekeo wa siasa nchini

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wamewasilia katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya viongozi waliowasili ni pamoja na…