JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

SMZ kuja na boti za mwendokasi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ipo katika hatua za mwisho za mchakato wa manunuzi ya boti mpya mbili za kisasa zinazokwenda kasi zitakazofanya safari kati ya Tanga, Pemba, Unguja, Dar es Salaam na Mombasa nchini Kenya. Taarifa hiyo imetolewa leo…

Dreamliner yashindwa kufika Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ inasikitika kuwajulisha wananchi kwamba ndege aina ya Boeing 8787-8 Dreamliner, ambayo iliyotarajiwa kufika na kutua leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume  imeshindwa kufika kutokana na changamoto za hali ya hewa. Kwa…

Wagonjwa 30 kufanyiwa upasuaji nyonga, magoti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAKRIBANI watu  30  kati ya 200 wenye tatizo la nyonga na goti watafanyiwa upasuaji  kwenye kambi ya madaktari bingwa kwa siku nne katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI). Tangu kuanza kutolewa kwa…

Makamu wa Rais Dkt Mpango awapongeza DAWASA

Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais , Dkt. Philip Isdori Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Ibihwa, Wilayani Bahi, Mkoani Dodoma, Dkt. Mpango amesisitiza kuongeza kasi ya uchimbaji wa visima ili wananchi…

Baba, mama lishe 5,000 kupata elimu umuhimu nishati safi ifikapo 2023-2026-INTERFINi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mama lishe na baba Lishe zaidi ya 70 katika Wilaya ya Kibaha ,mkoani Pwani ,wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kutoka Kampuni ya INTERFINi kwa ushirikiano wa Maestro Afrika na kudhaminiwa na…

Serikali yamwaga bilioni 4.6/- kuwezesha umeme maeneo ya migodi Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia,Mbinga SERIKALI imetoa kiasi cha sh. Bilioni 4.6 kwa ajili ya kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma ambapo kiasi cha sh.milioni 280 zimepelekwa katika mgodi wa Market Insight Limited (MILCOAL) uliopo katika Kijiji cha Paradiso…