JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tunaimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya nishati – Dk Mataragio

Asisitiza nia ya Serikali ni kutoa huduma stahiki bila kuangalia umbali au kipato 📌 Apongeza kampuni ya Puma Energy Tanzania kushirikiana na Serikali uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia 📌 Puma Energy Tanzania yaahidi kuendeleza ushirikiano Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya…

Waziri wa Nishari Zanzibar aipa kongole Rea

📌AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI 📌REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Shaib Kaduara ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kuhakikisha huduma za Nishati zinafika…

Wakuu wa Polisi EAC wajadili uhalifu uliovuka mipaka

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jumuiya ya Afika Mashariki EAC imesema itahakikisha inaweka mikakati ya kupambana na uhalifu uliovuka mipaka ikiwemo usafirishaji binadamu,dawa za kulevya,ugaidi na hualifu wa mitandao . Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP…

Jenerali Mkunda awavisha nishani mbalimbali majenerali Zanzibar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa Pemba na Unguja Zanzibar leo Oktoba…

Bilioni 15 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105 Simiyu

………………. Wateja 3,465 wataunganishwiwa huduma ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 24 Oktoba 2024 imemtambulisha rasmi mkandarasi; kampuni ya CCC (Beijing) Industrial & Commercial Ltd; kampuni kutoka China, itakayotekeleza Mradi wa…