JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ahmed Ally:Tukosoeni hadi nusu fainali

Na Tatu Saad, JAMHURI Baada ya ushindi wa bao 1-0 walioupata jana Simba Sc dhidi ya Vipers ya Uganda, Afisa habari wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally amesema maneno yanayozungumzwa mtaani ni kama Simba Ndio imefungwa jana. Ahmed amefunguka…

Simba yafikia makubaliano kumuuza Opah Clament

Na Tatu Saad, Jamhuri Medi. Uongozi wa klabu ya Simba Sc umefikia makubaliano ya kumuuza nahodha wa timu hiyo kwa upande wa wanawake ‘Simba Queens’, Opah Clement kwenda kuitumikia Besiktas,nchini Uturuki Mchezaji huyo ameshaondoka nchini tayari na kutimkia Uturuki kwajili…

Mchezaji wa Mtibwa Sugar afariki kwa mshtuko

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media. Beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Moby Mfaume amefariki dunia jana jioni Machi 05, 2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Thobias Kifaru amethibithisha kutokea kifo cha mchezaji huyo ambapo…

Rais Samia awataka viongozi kutekeleza na kusimamia majukumu yao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kukumbushana misingi ya uongozi na taratibu za utendaji kazi Serikalini kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo iliyopo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat)…

Sera nzuri za Samia zilivyowavutia waajiri wengi kujisajiri WCF

Na mwandishi wetu, Dodoma Kumekuwa na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya sita, Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dkt. John Mduma amesema. Dkt. Mduma ameyasema hayo wakati akizungumza…