Category: MCHANGANYIKO
Wanane wachukua fomu kugombea Jimbo la Wete
Wanachama wanane wa Chama cha ACT- Wazalendo wamechukua fomu kugombea ubunge wa jimbo la Wete lililopo Pemba Visiwani Zanzibar. Miongoni mwao ni mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Omar Ali Omar, Makamu Mwenyekiti wa Vijana Taifa Nassor Ahmed Marhun, Katibu wa…
Dk Biteko awaasa wakristo kuliombea taifa
Wakristo wakumbushwa ufufuko wa Yesu ulete mabadiliko maishani mwao Ataka wenye nia thabiti wajitokeze kugombea Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wakristo kuliombea Taifa…
Mchungaji Mbeya auawa kwa tuhuma za ushirikina
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Wananchi wenye hasira katika Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamemuua kwa kumpiga hadi kufa, mchungaji Golden Ngumbuke (66) wa Kanisa la Pentecostal Evangelical Fellowship Africa (PEFA), wakimtuhumu kuhusika na kifo cha jirani yake, Katekista Fadhili…
Saba wafariki, wengine 15 wajeruhiwa Mufindi
Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyohusisha gari la wagonjwa lenye namba za usajili STM 7840 na pikipiki ya magurumu matatu ya kubeba mizigo wilayani Mufindi mkoani Iringa. Mkuu wa Wilaya ya…
Marekani yatishia kujiondoa mazungumzo ya amani ya Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Marekani “itaachana” na kujiondoa kwenye mazungumzo upatanishi kati ya Urusi na Ukraine ikiwa Moscow au Kyiv “itayafanya kuwa ngumu zaidi” kufikia makubaliano ya amani. Rais huyo wa Marekani aliwaambia waandishi wa habari katika Ofisi…
Mashindano ya kwanza ya mbio za roboti duniani zinazofanana na binadamu zafanyika China
Kwa mara ya kwanza duniani, China iliandaa nusu-marathon ya roboti zinazofanana na binadamu mjini Beijing siku ya Jumamosi. Katika tukio hili la kihistoria, roboti na binadamu walikimbia katika njia moja lakini kwa nyuso tofauti, ikiwa ni mara ya kwanza kushuhudiwa…