JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wadau watambua nia nzuri ya Serikali ya maboresho ya sheria ya habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wadau wa habari pamoja na asasi za kiraia wametambua hatua nzuri iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hasssan ya mabadiliko ya sheria mbalimbali zinazolalamikiwa. Hayo yamebainika kwenye kongamano la siku mbili…

Kesi ya aliyekuwa bosi PSSSF, hukumu haijakamilika

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imesema bado haijakamilisha kuandaa hukumu katika  kesi inayowakabili Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF) Kanda ya Arusha,Rajabu Kinande na wenzake wanne Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la…

Taifa Stars ipo tayari kwenda AFCON

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Baada ya kuweka kambi huko nchini Misri na kuanza mazoezi kwajili ya mchezo wa mzunguko watatu wa kundi F,kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’, Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche ameeleza namna…

Michuano ya robo fainali za kombe la shirikisho kuanza April

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la soka Tanzania ‘TFF’ hatimaye limeweka bayana tarehe maalum za michezo minne ya hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ msimu huu 2022/2023. Taarifa hiyo muhimu imetolewa kupitia vyanzo vya habari…

Kamati yaagiza wadaiwa sugu kuondolewa nyumba za TBA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wakala wa Ujenzi Tanzania (TBA), kuwaondoa wapangaji ambao hawalipi kodi ya nyumba, hususani watumishi wa taasisi za serikali. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Seleman Kakoso ametoa agizo hilo jana jijini Dar es Salaam…

TRA Chunya yajivunia sekta ya madini kwa ukusanyaji wa kodi

Na Richard Mrusha,JamhuriMedia MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imesema kuwa asilimia kubwa ya mapato katika Wilaya hiyo yanatokana na Madini ambapo wachimbaji wadogo wamekuwa na uelewa mpana juu ya kifaa kinachotumika katika kurahisisha ukusanyaji wa…