Category: MCHANGANYIKO
Majaliwa ashuhudia wanachama wa CUF, ACT – Wazalendo wakirejea CCM
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili. Mheshimiwa Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu…
Mweka hazina mbaroni kwa ubadhirifu wa fedha za kikundi
Agosti 22, 2024 Mahakama ya Wilaya Ilala ilimtia hatiani mshtakiwa Sefania Adam Mwanja-ambaye ni mweka jazina wa Kikundi cha Afya Jamii. Bw. Mwanja alikabiliwa na makosa ya kughushi, uhujumu ichumi na itakatishaji wa fedha haramu katika shauri la uhujumu uchumi…
500 kutoka asasi za kiraia kushiriki maadhimisho wiki ya AZAKI 2024 Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Washiriki zaidi ya 500 kutoka Asasi za Kiraia (AZAKI), Sekta Binafsi, Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika kuanzia Septemba 9 hadi 13 Jijini Arusha….
REA : Tutaendelea kufanya tafiti za bidhaa za nishati safi za kupikia zinazosambazwa kwa wananchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala utaendelea kufanya tafiti za bidhaa za Nishati Safi za Kupikia ili kubaini ufanisi wa teknolojia zinazosambazwa kwa wananchi. Mhandisi Saidy amesema hayo…