JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania yawanoa wataalamu wa hali ya hewa Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katika kuwajengea uwezo wataalamu wa hali ya hewa kutoka Taasisi za Hali ya Hewa barani Afrika, Kitengo cha Elimu na Mafunzo cha Shirika la Hali ya Hewa Duniani kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Hali…

REA yamtaka mwendelezaji mradi wa kufua umeme Maguta Iringa kuongeza kasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Serikali imemtaka mwendelezaji wa mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji wa Maguta uliopo katika Kijiji cha Masisiwe Wilayani Kilolo mkoani Iringa kuukamilisha kwa wakati. Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala…

‘Mjiandae na Uchaguzi Mkuu 2025’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Manyara TUME huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji Mkoa wa Manyara kutumia elimu na ujuzi walioupata kwenye mafunzo ya uandikishaji wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura ikiwa ni sehemu ya maandalizi…

Wajipanga kujadili changamoto za mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kukutanisha wadau zaidi ya 1000 kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika Septemba 9-10 jijini…

Dk Nchimbi akutana na Waziri Liu China

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzii, (CCM) Dk Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa idara ya Mambo ya nje ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina (CPC) comrade Liu Jianchao leo Agosti 26, 2024, China. Dk Emmanuel Nchimbi…