Category: MCHANGANYIKO
Katambi: Serikali itaendelea kuongeza kasi kutatua migogoro ya kazi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu) Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuongeza kasi ya kutatua migogoro, kusogeza huduma karibu na wafanyakazi na waajiri kupitia Tume inayotembea yaani…
Wafungua kesi kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi Serikali za Mtaa
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi watatu wamefungua kesi Mahakama Kuu Masijala ya Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusimamia…
Nakubaliana na Mbowe, iundweTume kuchunguza mauaji
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, alitoa hoja ya kutaka Serikali iunde Tume ya Kuchunguza mauaji na utekaji nchini. Hoja hii ameitoa baada ya Rais wa Chama cha…
Raia wa China aliyejifungua mapacha Dar ashukuru kwa huduma nzuri
Na Mwandishi Wetu, Janhuru Media, Dar es Salaam RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Raia huyo alijifungua watoto hao…
Waziri Aweso azindua kampeni ya Dawasa Mtaa kwa Mtaa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezindua kampeni ya Dawasa Mtaa kwa Mtaa ambayo inalenga kuondoa changamoto mbalimbali kwa wananchi ili kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inapatikana. Kampeni hiyo itakayosambaa nchi nzima…
Marekani yasisitiza nia ya kuendeleza mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Marekani imesisitiza nia ya kushiriki katika kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP. Pia imeweka mkazo wa ushiriki wake katika mradi huo wa kimkakati ambao ni kati ya miradi…