Category: MCHANGANYIKO
Wafugaji Pwani waitikia wito ufugaji kisasa
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Pwani Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewapongeza wafugaji wa Kijiji cha Mpelumbe, Kata ya Gwata, Walayani Kibaha, mkoani Pwani kwa kujitolea kujenga bwawa la kunyweshea mifugo yao. Waziri Ulega ametoa pongezi hizo hivi karibuni…
Kisiwa cha Tembonyama Mafia kupata mwekezaji na kuchochea mageuzi sekta ya utalii
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kisiwa cha Tembonyama ,Kijiji Cha Banja ,Kata ya Kirongwe, chenye ukubwa wa ekari 35 kinatarajiwa kupata mwekezaji atakayeleta mabadiliko ya kiuchumi na mageuzi kwenye utalii, ikiwa ni mwendelezo wa kuunga mkono juhudi za Serikali kukuza…
Rais Samia awasili Arusha akitokea Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari kwa kuelekea mkoani Arusha ambapo ni mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti…
Masauni, Jeshi la Polisi wajadili amani
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amefanya kikao maalumu na uongozi wa juu wa Jeshi la Polisi nchini kujadili usalama na amani ya nchi. Kikao hicho, kilichofanyika jijini Dodoma, kililenga kujadili na kutathmini matukio ya kihalifu…
Dk Ndunguile ajinadi Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO
Mgombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile akijinadi mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO leo Agosti 27, 2024 unaofanyika katika Jiji la Brazzaville nchini Congo. Dkt….
Dk Mpango awaomba NMB kueneza elimu ya bima kwa watumiaji vyombo vya moto
Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameisihi benki ya NMB kuwafikia watu wengi zaidi kwa ajili ya kuwapa elimu ya Bima hasa waendeshaji na watumiaji wa vyombo vya moto. Dk Mpango ametoa…