JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TANESCO tunathamini wadau wa maendeleo – Nyamo-Hanga

📌 Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima…

DC Mgomi: Wananchi tushirikiane kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa Wilaya ya Ileje, Mkoani Songwe, Farida Mgomi, amewaasa wananchi wa Wilaya hiyo kuungana, na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na vyombo vya dola kutoa taarifa…

Matengenezo mtambo wa Ruvu juu waanaza

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi 40 na inchi 28 katika Mtambo wa Uzalishaji Maji wa…

Hofu ya Jaji Warioba, wananchi kujihami

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu (mstaafu), Jaji Joseph Sinde Warioba, alizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusisitiza kuwa mwenendo wa uchaguzi unavyokwenda na kwa jinsi watu wanavyoonyesha…

Jeshi la Polisi Dodoma lawashika mkono wenye mahitaji maalumu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa Kishirikiana na Kundi la Wanawake na Samia na wadau wengine wa maendeleo Wametoa Mkono wa Sadaka kwa Wenye uhitaji katika Kituo cha Upendo kilichopo Miyuji ikiwa ni ishara ya…