Category: MCHANGANYIKO
Amir Jeshi Mkuu Rais Dk Samia akizindua kitabu cha miaka 60 ya JWTZ
Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia…
Polisi wanawake Tanzania washiriki mafunzo Marekani
CHICAGO MAREKANI Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji shirikisho hilo Leo Septemba 01,2024 Katika Jiji la Chicago Nchini Marekani
Rais Samia kushiriki mkutano FOCAC
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuhudhuria mkutano wa kilele na wakuu wa nchi na Serikali na Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wenye lengo la kushirikiana katika kuimarisha uchumi utakaofanyika Septemba 4 hadi 6 nchini China. Hayo…
NFRA wapewa saa 72 kulipa wauzaji mazao
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Dk Hussein Mohamed Omar ameuagiza Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuhakikisha malipo ya wakulima na wafanyabiashara wa mazao wanaouzia wakala huo yanafanyika ndani ya saa 72 baada ya kupokea mazao yao na…
Wanafunzi watatu, dereva wafa katika ajali
Wanafunzi watatu na dereva mmoja wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwemo gari aina ya ‘Coaster’ na gari la mizigo aina ya Scania kugongana uso kwa uso alfajiri ya leo katika kijiji cha Gajal kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara. Kamanda…
Samia ashiriki mashindano ya Qur’an
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an yaliyofanyika leo uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Tukio hili muhimu limeakisi dhamira ya Rais Samia ya kuendeleza umoja wa kitaifa na kudumisha amani nchini. Katika hotuba yake, Rais…