Category: MCHANGANYIKO
Serikali imelitambua deni la Kiwira Coal Mine la bilioni 1.52
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa amesema Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 lililotokana na mapunjo ya mafao kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi na madeni ya Wazabuni wa Mgodi wa Kiwira Coal Mine kabla ya…
Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya madini ndani ya nchi
Na Mwandishi Maalum Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali,Indonesia wakati wa majadiliano juu ya…
TASAC yatahadharisha uwepo wa upepo mkali
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) ,limetoa tahadhali kwa wananchi na wadau juu ya uwepo wa upepo mkali kwa siku tatu kwenye baadhi ya maeneo kwenye ukanda wa Pwani,ya kusini mwa Bahari ya…
Ofisi ya Mganga Mkuu Dar, USAID Afya Yangu, Mama na Mtoto yawanoa kina mama 50
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam OFISI ya Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na USAID Afya Yangu, Mama na Mtoto wametoa mafunzo kwa akina mama 50 kutoka Wilaya nne za Mkoa huo. Wilaya hizo ni…