Category: MCHANGANYIKO
Waziri Chana aongoza maadhimisho miaka 106 ya ukumbusho
Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salam Siku ya Novemba 11 kila mwaka inatambulika kama siku maalumu ya kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha katika vita vya kwanza vya dunia. Historia inatueleza kuwa mnamo Novemba 11 ya mwaka 1918 wakati vita vya kwanza…
Jumla ya watahiniwa 557,731 kufanya mtihani wa kidato cha nne unaoanza kesho
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 557,731 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024 ambapo kati yao watahiniwa wa shule ni 529,321 na watahiniwa wa kujitegemea ni 28,410. Mtihani huo ambao unaanza kesho Novemba 11…
Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bil. 500/- ujenzi miundombinu Dar
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zaidi ya Shilingi Bilioni 500 zimetolewa kwa Wakala ya Barabara Tanzania-TANROADS Mkoani Dar es salaam. Licha ya kusimamia matengenezo ya…
Watumishi wa ardhi Dodoma wapewa siku 30 kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa siku 30 kwa watumishi wa Ardhi jiji la Dodoma kutatua migogoro na changamoto za ardhi na kupata majawabu ifikapo Desemba 10 2024. Waziri Ndejembi amesema hayo Novemba 8, 2024 wakati wa kikao chake na watumishi wa Ardhi Ofisi…
Makamu wa Rais awasili Baku Azerbaijan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaoshiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa…
Tanzania, Uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa
Na Munir Shemweta, WANMM Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa…