Category: MCHANGANYIKO
ISOC-TZ yawajengea uwezo vijana katika usimamizi wa mitandao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Internet Society Tanzania Chapter(ISOC-TZ) kupitia jukwaa la usimamizi wa mtandao Tanzania Internet Governance Forum(TzIGF) imeendesha mafunzo kwa vijana kuwajengea uwezo katika masuala ya usimamizi wa mitandao. Akizungumza katika Mafunzo hayo yaliyofanyika…
Ubelgiji yaunga mono agenda ya nishati safi – Dk Biteko
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ubelgiji imesema inaunga mkono kampeni ya Nishati Safi ya kupikia na hivyo imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika matumizi ya nishati hiyo kwa maendeleo ya Bara zima la Afrika iliyoasisiwa…
Wapiga kura wapya 491,050 kuandikishwa Mara, Simiyu na Manyara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10 Septemba, 2024 ambapo jumla ya wapiga…
DRC: Watu 129 wameuawa katika jaribio la kutoroka gerezani
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takribani watu 129 waliuawa walipokuwa wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Makala katika mji mkuu Kinshasa siku ya Jumapili jioni, na kuongeza kuwa hali sasa imedhibitiwa, Shirika la habari la Reuters…
Dhambi ya kuiua Ngorongoro
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa miaka kadhaa nimeandika mengi kuhusu uhifadhi, hasa eneo la Ngorongoro ambako kuna Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), na Pori la Akiba Pololeti (Loliondo). Mambo yanayoendelea katika eneo hili yanahitaji…