JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wadau waombwa kusaidia kilim himilivu

Na Mwandishi Wetu WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchini Tanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha wanaleta mchango katika sekta hiyo. Wito huo ulitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina…

TMDA yaonya matumizi dawa kuzuia mimba, kuongeza nguvu

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Mashariki, imeonya juu ya matumizi mabaya ya dawa za kuzuia ujauzito na kuongeza nguvu za kiume, ambayo yamebainika kuhatarisha afya za watumiaji. Onyo hilo limetolewa na Mkaguzi wa Dawa wa…

Makonda ataka mahubiri ya amani

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na utulivu ikiwemo wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotaraji kufanyika Novemba 27 mwaka huu nchi mzima. Aidha amewaomba viongozi wa…

Tanzania yanufaika na miradi ya mazingira

Tanzania inatarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 13 kwa ajili ya kuongeza wigo wa utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Halmashauri 15 zaidi kupitia Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji na Maendeleo (UNCDF). Hayo yamebainika…

Tuzingatie viwango katika biashara zetu kukuza soko zaidoli – Dk Jafo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Selemani Jafo (Mb) ametoa rai kwa Wazalishaji wa bidhaa Nchini kuweka kipaumbele suala la ubora wa bidhaa kwani ndio ajenda muhimu kwa kutengeneza uchumi wa nchi. Ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Ubora…

REA kushirikiana na Njombe kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 13,000

📌Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 📌Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo…