Category: MCHANGANYIKO
Fk Biteko asisitiza maadili, weledi na uwajibilajo katika ununuzi wa umma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri…
Rostam Azizi atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dar es Salaam – Mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, Rostam Azizi, ameungana na Watanzania wengine kulaani vikali mauaji ya kiongozi wa chama cha Chadema, Mohamed Ali Kibao, yaliyotokea…
Rostam Azizi asikitishwa na kifo cha marehemu Mohamed Kibao
Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Mohamed Ali Kibao. Naungana na Watanzania wema…
CCM yatoa pole kifo cha kada CHADEMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa pole kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokana na msiba wa mjumbe wa sekretarieti ya chama hicho, Ally Kibao na kuliomba Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wanatiwa nguvuni. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM…
Ushiriki makundi mbalimbali katika kutoa maoni una mchango mkubwa kufanikisha maendeleo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya mambo yatakayojadiliwa kwa kina na kufikiwa maazimio ya kuhakikisha makundi hayo yanashiriki kikamilifu katika michakato…
Polisi waongeza nguvu tukio la mauaji ya Kibao
Jana Septemba 7,2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kushushwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo. Baada ya kutolewa taarifa za…