Category: MCHANGANYIKO
Ugonjwa wa miguu na midomo unaoshambulia mifugo kutovuka mipaka ya nchi za EAC na SADC
Mwakilishi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) nchini Tanzania, Bi. Nyabenyi Tipo akielezea takwimu ya Mwaka 2013 ambapo ugonjwa wa miguu na midomo (FMD) unaoshambulia mifugo umekuwa na madhara makubwa ya kiuchumi na kusababisha hasara…
Dk Biteko amfariji Angelah Kairuki
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 10, 2024, amesaini Kitabu cha Maombolezo kwenye msiba wa Mzee Peter Orgones Mkwizu, Baba wa Mhe. Angelah Kairuki, Mbunge wa Viti Maalum na Mshauri wa Rais. Dkt….
Dk Biteko :Rais Samia ameelekeza rasilimali zinazochimbwa nchini ziwanufaishe Watanzania
📌 Asisitiza Ushuru wa Huduma Kutatua Changamoto za Wananchi 📌 Uchimbaji wa Gesi Asili Kuchochea Uchumi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Watanzania…
Utafiti waonyesha ushiriki wa vijana kwenye masuala ya demokrasia ni hafifu
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Haki Elimu nchini umebaini kuwa asilimia 44.4 ya vijana katika shule za sekondari hawana uelewewa wa mambo gani yanayounda demokrasia huku asilimia 3.8 hawajui chochote kuhusu demokrasia. Utafiti huo ulilenga…
DCEA yakamata watu watano Dar wakiwa na Kilogramu 1,815 za Skanka
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watu watano wakiwa na kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya Skanka. Watu hao wamekamatwa maeneo ya Luguruni Mbezi na Magomeni…
Mshtakiwa akwamisha kesi kwa madai kuwa mgonjwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi baada ya kudaiwa mahakamani hapo kuwa mke wa mshtakiwa Bharat Nathwan (57),…