JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wafahamu Al Ahly Tripoli, wapinzani wa Simba shirikisho

Isri Mohamed Wachezaji wa klabu ya Simba leo alfajiri Agosti 11, wameondoka nchini kuelekea Libya kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika watakaocheza dhidi ya klabu ya Ahly Tripoli ya nchini humo. Katika mchezo huo…

AZAKi, sekta binafsi na umma, kushirikiana kuleta maendeleo

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na sekta binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Hayo yamebainishwa na…

Mikoa minne kunufaika na nishati safi ya kupika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MIKOA minne ya Tanzania Bara inatarajia kunufaika na mradi wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao utasaidia katika kupunguza matumzi ya kuni na mkaa yanayotokana na ukataji wa miti. Hayo yalibainishwa wakati wa kikao kazi…

Watahiniwa 1,230,780 wafanya mtihani wa darasa la saba leo

Na Mwandishi Wetu, JahuriMedia Dar es Salaam Katibu mtendaji wa baraza hilo, Said Mohamed amesema watahiniwa 1,230,780 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi(PSLE) kesho Jumatano Septemba 11, 2024 huku Baraza la Mtihani Tanzania(NECTA) likiwatahadharisha kuwafutia matokeo watakaobanika kufanya…

Simbachawane ateta na Jakaya Kikwete

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene leo amemtembelea na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya M. Kikwete nyumbani kwake Kawe Jijini Dar es…

Watoto 23 wafanyiwa upasuaji wa moyo JKCI

Na Stela Gama – JKCI Watoto 23 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo katika kambi maalumu ya matibabu ya moyo kwa watoto inayofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Kambi hiyo maalumu…