JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefanikiwa kuwa na ongezeko uandikishaji wa ada za bima kwa kampuni za umma na binafsi kwa. asilimia 7.4 kutoka tilion Tsh 1.15 ,mwaka 2022 hadi kufikia tilion 1.24…

Wasanii 200 Songea wapata mafunzo uzalishaji filamu bora

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania (TFB)  imeendesha mafunzo kwa wasanii 200 wa tasnia ya filamu wa manispaa hiyo ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha filamu zenye ubora na zinazokidhi soko la ndani. Mafunzo…

Mkurugenzi Manispaa Songea avishukuru vyombo vya habari

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi katika Manispaa hiyo Bashir Muhoja amewashukuru waandishi wa habari kwa mchango wao mkubwa wa kupasha habari tangu kwa kuanza zoezi la uandikishaji na katika…

Pinda ataka usawa katika malezi kupinga ukatili wa kijinsia

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amewataka wazazi wote nchini kuwalea watoto kwa usawa bila ubaguzi ili kuepuka na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Naibu Waziri Pinda ametoa wito huo Novemba 23, 2024 alipokuwa…

Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha kushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa

πŸ“Œ Baada ya Namtumbo, aingia Mbinga Vijijini πŸ“Œ Ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27, 2024 πŸ“Œ Asema Kura ziende CCM; Ndiyo chimbuko la Viongozi Bora; Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbinga Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni…

Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil Ushiriki wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU), umekuwa wa…