JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

CCM walaani kampeni ya ‘ Samia Must Go’

Na Isri Mohamed KATIBU mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Dkt Emmanuel Nchimbi amezungumza na wanahabari leo kuhusiana na masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii yanayoendelea nchini, hususani matukio ya utekaji na mauaji yaliyotokea yakiwemo ya aliyekuwa mjumbe wa sekretarieti…

Tume Huru ya Uchaguzi yatoa ruksa kwa wafungwa kupiga kura

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma TUME huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini imetoa mwongozo wa maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapigaji kura huku ikitoa nafasi kwa wafungwa na mahabusu kuandikishwa kuwa wapiga kura . Hayo yameelezwa leo September 13,2024…

TBB kufanya ones home la S!TE Oktoba 11, 2024 Dar es Salaam

Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Arusha Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kufanya onesho la nane lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo( S!TE)litakalofanyika Oktoba 11 Hadi 13 ,2024 Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa…

Polisi wapiga ‘stop’ maandamano ya CHADEMA

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanywa na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 23, 2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa ya marufuku hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi,…

TTB yazindua Onesho la Nane la S!TE 2024

Na Tatu Mohamed,JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi Onesho la nane la Swahili International Tourism Expo _S!TE (S!TE 2024) ambalo linatarajia kufanyika Octoba 11 hadi 13 Jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari…

RITA: Zaidi ya asilimia 99.75 ya vyeti vimehakikiwa

Na wandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KABIDHI Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wananchi na waombaji wote wa mikopo ya elimu ya juu kutosubiri dirisha la mikopo…