JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wananchi wapongeza kasi ya Jeshi la Polisi katika kuwashughulikia wahalifu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wamelipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua kali zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaofanya uhalifu pamoja na vitendo vya ukatili kwa kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria kwa wakati. Hayo…

Historia nyingine yaandikwa Mradi wa Imeme wa Julius Nyerere (JNHPP)

📌Dkt.Biteko azindua mradi wa usafirishaji umeme (kV 400) Chalinze-Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme Chalinze na Zuzu 📌Kuwezesha umeme kutoka JNHPP kufika Kanda mbalimbali za Tanzania, Migodi ,Viwanda, Kusini na Mashariki mwa Afrika 📌Asema Tanzania inaongoza Afrika kwa Usambazaji…

Matukio 7,000 ya ukatili yameripotiwa Pwani -RMO Ukio

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Kusirye Ukio, amebainisha kuwa matukio takriban 7,000 ya ukatili yaliripotiwa ndani ya mwaka mmoja mkoani humo. Ukio alitoa taarifa hiyo wakati akizungumza kwenye kikao kilichowajumuisha viongozi wa mkoa, viongozi…

Bandari ya Dar es Salaam yavutia mataifa ya Ulaya, Asia na Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na kushuhudia utendaji kazi wake na uwezekano wa kuanza kufanya…

Waziri Dkt. Gwajima: Msibweteke na elimu mliyoipata

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kutokubweteka na kiwango cha elimu walichokipata bali…