JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais wa Benki ya AfDB awasili nchini

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…

Rais wa Sierra Leone atua Dar

Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ili kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati. Rais huyo wa Sierra Leone amepokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo…

Rais wa Sierra Leone kutua Dar leo

Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio anatarajiwa kuwasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ili kushiriki Mkutano wa Nchi za Afrika unaohusu Nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud…

Wakuu wa nchi 25 kushiriki mkutano wa nishati Afrika

Marais 25 wa nchi za Afrika wanatarajiwa kushiriki katika mkutano wa nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amebainisha hayo leo…

JK aipa PPAA changamoto kuokoa fedha za Serikaki katika miradi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete ameipa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) changamoto ya kuangalia jinsi ununuzi wa umma unavyoweza kuokoa fedha za umma na kuhakikisha kuwa Serekali…