Category: MCHANGANYIKO
Ndumbaro azungumzia umuhimu wa Tamasha Utamaduni mkoani Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMesia, Songea Waziri wa Utamaduni, Michezo na Sanaa Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuonesha utamaduni wa Taifa letu , kuimarisha umoja na kujivunia urithi wetu wa kitamaduni. Hayo yamebainika jana wakati akizungumza na…
Bashe aridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na ASA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kufuatia ziara yake ya ukaguzi wa shamba la mbegu tarehe 16 Septemba 2024 lililopo Undomo, Wilaya ya Nzega. Shamba hilo lina ukubwa…
Dk Kijaji: Tanzania yazuia tani 216 za kemikali hatari kwa tabaka la ozoni
Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Tanzania imefanikiwa kuzuia tani 216 sawa na asilimia 86 ya uzalishaji wa kemikali hatari kwa tabaka la…
Mabweni ya kuchukua wanafunzi 12,000 kujengwa kwa ubia Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia wa Sekta za Umma na Binafsi (PPP) wanatatarajia kujenga mabweni ya wanafunzi kwa ubia utakaogharimu Sh bilioni 20.7. Hayo yalisemwa mwishoni…
Serikali kutumia bilioni 830 kukabiliana na athari za el nino
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote….