JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wananchi wachagua viongozi Serikali za Mitaa

📌 DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi 📌Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….

Dk Faustine Ndungulile afariki dunia

Na Isri Mohamed, Jamhuri Media, Dar es Salaam Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, akiwa nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Spika wa Bunge, Dkt…

Tanzania yapongezwa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 25 ya EAC

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Veronica Nduva ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipa uzito wa kipekee agenda ya maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo kilele chake ni tarehe…

Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko

📌Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM 📌 Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu 📌 Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Pwani na kuwaasa wananchi kuwapigia kura wagombea wanaotokea…