JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Akutwa ameuawa porini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mtu mmoja aliyehamika kwa jina la Costa Clemence, 22, mkazi wa kijiji cha Maseyu kata ya Gwata Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro amekutwa amefariki dunia na mwili ukiwa umetelekezwa porini katika kijiji hicho. Kamanda wa…

Tabora tumepiga vita mafudi umeme vishoka : RAS Tabora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya, akifungua semina ya siku moja kwa mafundi umeme wa mkoa huo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paul Matiko Chacha, leo 17 Septemba 2024,amewasihi mafundi…

Wanawake viongozi walaani kauli za uvunjifu wa amani

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAWAKE Viongozi wa Vyama vya siasa nchini wamelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa Taifa halina amani ambapo wamesema zinania ovu ya kuhatarisha usalama wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari leo…