Category: MCHANGANYIKO
Waziri Bashe awataka wakulima, wafugaji kuishi kwa amani
đź“ŚNIRC,Songea Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewaasa wafugaji wa jamii ya Wasukuma wanaoishi katika kata ya Ndalila Wilayani Songea, kuhakikisha kuwa wanaishi kwa amani na wakulima wa jamii zingine wilayani humo “Nimewaletea salamu kutoka kwa rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Matumizi ya TEHAMA mahakamani yamesaidia kupunguza mrundikano wa mashauri – Prof. Gabriel
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ndani ya Mahakama ya Tanzania yametajwa kuleta manufaa lukuki ndani ya Mhimili huo ikiwa ni pamoja na kupunguza mlundikano wa mashauri. Hayo yamebainishwa leo tarehe 18 Septemba, 2024…
Makonda abaini upotevu wa bil 1.3/- sekondari ya wasichana Longido
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amebaini upotevu wa fedha zaidi ya Sh bilioni 1. 3 katika shule ya Sekondari ya Wasichana Longido iliyopo wilayani Longido. Fedha hizo zimepotea kutokana na ulipaji wa malipo…
Serikali yaweka bilioni 81 ujenzi bandari ya Mbambabay
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma WAKATI Rais Samia akitarajiwa kuwasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi imeelezwa kuwa serikali imewekeza kiasi cha shilingi bilioni 81 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bandari ya kisasa ya Mbambabay Wilayani…
Walimu, wadau wa wapata mafunzo matumizi fasaha ya lugha ya kiswahili
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Walimu wa Kiswahili na wadau hapa chini wametakiwa kuona umuhimu wa lugha ya kiswahili katika kuimarisha utamaduni na elimu jambo ambalo litachangia jamii kukuza lugha ya kiswahili, uzalendo na uelewa wa historia ya nchi yao…