JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus M. Wambura amefanya mabadiliko madogo  kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Amemhamisha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng’anzi kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabaarani Tanzania kwenda Makao Makuu…

Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa kurejesha mawasiliano ya barabara Kuu ya Manyara – Singida ambayo iliathirika Desema 3, 2023 wakati wa maafa ya maporomoko ya tope la mlima Hanang Mkoani…

Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizindua  magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma. Na Mwandishi…

DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe

Na Mwandishi Maalum, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo zaidi. Ameyasema hayo alipoweka jiwe la msingi…

‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab amesema Serikali imeboresha mazingira ya Waandishi wa Habari ili kuongeza ufanisi katika kazi. Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha Asubihi Njema, kinachoendesha…

Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam

Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam SERIKALI imeshakusanya umla ya Sh.Bilioni 325.3 katika kipindi cha miezi mitano (Aprili hadi Septemba 2024) tangu DPW Dar es Salaam waanze kuendesha Gati 0-7 katika Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Katibu…