JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati

Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 Nchi ilizalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila mkoa ulijitegemea…

CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora VIONGOZI na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Tabora wametembelea familia ya mjane wa Kada wa CCM Jastin Magembe aliyejiua kwa sumu baada ya mgombea wao kushindwa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Katibu…

NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeunda timu ya operesheni maalumu ya kufuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria wachafuzi wa mazingira na kelele kwenye kumbi za starehe wakati wa…