Category: MCHANGANYIKO
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewaagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Mradi wa Mabasi Yanayoenda Haraka (BRT) mkoani Dar es Salaam kuhakikisha ujenzi unakamilika kabla ya msimu wa mvua za masika mapema mwakani ili…
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan anawajali watu wenye Mahitaji Maalum kwani ameweka mazingira mazuri ya kuwalinda na kuwapatia…
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WATAALAMU wa Lishe katika halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani hapa wametakiwa kuongeza ubunifu utakaoleta matokeo chanya miongoni mwa jamii ikiwemo kuboreshwa afya zao. Rai hiyo imetolewa juzi na Mkuu wa Wilaya hiyo Sauda Mtondoo…
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Msako mkali uliopewa jina la ‘Operesheni Serengeti’ uliofanywa na Polisi wa kimataifa dhidi ya wizi na utapeli mitandaoni umefanikiwa kuwanasa watu 1,006; JAMHURI linaripoti. JAMHURI limeelezwa kwamba Operesheni Serengeti imefanyika katika mataifa 19…
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo naandika makala hii si kwa jambo jingine, bali kupanua wigo wa mjadala na kuwapa Watanzania muktadha wa siasa za kuanzia kwenye vyama na hatimaye kuingia Ikulu. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Na Joseph Mihangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam “Yuko wapi yeye aliyezaliwa, Mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki na tumekuja kumsujudia.”Haya ni maneno ya Mamajusi (wenye busara) wa Mashariki waliofika Yerusalemu kwa ajili ya kumsujudia na kumpa zawadi…