Category: MCHANGANYIKO
Polisi Songwe yaimarisha ulinzi sikukuu ya mwaka mpya
Ikiwa leo ni Januari Mosi mwaka 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limejipanga vizuri kuhakikisha wananchi wanasherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu. Kauli hiyo imetolewa Januari 01,2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa…
Rais Samia : Mwaka 2024 ulikuwa na mafanikio
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DISEMBA, 2024 Ndugu Wananchi; Tarehe 31 Desemba, tumehitimisha mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa neema…
Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho Desemba 31, 2024 -Majaliwa
WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Desemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi…
Waziri Mavunde asimamisha uchimbaji madini kwenye mto Zila kijiji cha Ifumbo wilayani Chunya Mbeya
▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira ▪️Akemea wananchi kuharibu mali za mwekezaji ▪️Asisitiza Sheria na kanuni kufuatwa…
Waziri awashauri wananchi Jimbo la Jang’ombe kutunza miundombinu ya barabara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora Dk Haruon Ali Suleiman wananchi wa Jimbo la Jang’ombe kuitunza miundombinu ya barabara inayojengwa ili idumu kwa muda mrefu. “Miundombinu yetu hii tuitunze kwa maslahi ya Nchi yetu…