JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MGORORO WA FAMILIA…Kaburi la Jenerali lafukuliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Musoma Katika tukio la nadra, mgogoro ulioibuka kwenye familia ya marehemu Meja Jenerali Prof. Dk. Yadon Kohi, umesababisha kufukuliwa kwa mwili wake na kuzikwa upya katika kitongoji kingine.Tofauti na mazishi ya awali yaliyopambwa na taratibu za…

Rais Samia ameweza, sasa tunaingia mwaka wa fitina

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo ni Desemba 31, 2024. Tunaumaliza mwaka. Ikiwa unasoma makala hii, basi ujue nawe ni mmoja wa wateule wa Mungu alioendelea kuwajalia pumzi. Ni vema na haki tumshukuru Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai,…

Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini, hasa mwaka huu…

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao yaweka tabasamu mwaka mpya 2025 kwa wenye ulemavu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2024 hafla…

Ruto akiri ukiukaji wa polisi katika maandamano

RAIS wa Kenya William Ruto amekiri ukiukaji uliofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo, kufuatia maandamano ya kupinga wimbi la hivi majuzi la madai ya utekaji nyara ambayo yamezua ghadhabu nchini humo. Ruto amesema kwenye hotuba yake ya mwaka…

Makamu wa Rais ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya 2025 Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya…