JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Bunda Naandika makala hii nikiwa safarini wilayani Bunda. Nimekuja Bunda si matembezini, bali kumzika mwanaparokia mwenzetu, ambaye alikuwa Mweka Hazina wa Parokia yetu ya Roho Mtakatifu Kitunda, ambako mimi ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei. Ndugu…

Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma BAADA ya kimya cha muda mrefu kuhusu nani anachukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) jibu limepatikana ambapo anatarajiwa kupatikana kati ya January 18 au 19 mwaka huu. Hatua hii ni…

Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imeziagiza Bodi za Wadhamini wa Taasisi kuhakikisha zinatimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria ikiwemo kuwakilisha marejesho ya kila Mwaka (annual returns) Akizungumza wakati wa kikao na wadau…

Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemkabidhi Mkandarasi Jiangx Geo Engineering kazi ya ujenzi wa daraja la Tanganyeti wilayani Longido lenye urefu wa mita 40 katika barabara ya Arusha-Namanga ambapo zaidi ya Sh bilioni 4.6 zitatumika katika ujenzi huo. Makabidhiano hayo…