Category: MCHANGANYIKO
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani NAIBU Waziri wa Maji, Kundo Mathew (Mb) ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha huduma ya maji katika Mkoa huo. Kundo ameeleza dhumuni…
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MKURUGENZI Mtendaji Wakala wa Uwezeshaji Wannachi Kiuchumi (ZEEA), Juma Burhan amesema kuwa uwepo wa mifumo ya kidijitali katika wakala huo na taasisi zote za serikali nchini itaongeza uwazi na uwajibikaji. Burhan ameyasema hayo jana visiwani…
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Na Benny Mwaipaja, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amefungua mafunzo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), yanayohusu Usimamizi wa Fedha za Umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kupitia…
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia katika kuendeleza sekta ya madini, hususan kwa kutumia teknolojia na mitambo rafiki kwa mazingira. Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (Mb), amesema hayo tarehe 06 Januari…
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuimarisha mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya mkoani Kagera, ambao umepunguza malalamiko ya upungufu wa bidhaa za afya mkoani humo. Pongezi hizo zimetolewa hapo jana tarehe 6/1/2025 na…