JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania{TRA}, kuacha kuwahurumia na kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kulipa kodi ya serikali kwa makusudi bila kubugudhi biashara zao. Nchemba ameyasema hayo Jijini Arusha wakati…

Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya

📌Akerwa na kusuasua kwa utendaji wa Kituo hicho 📌Awataka watendaji kuondokana na kufanya kazi kwa mazoea 📌Ahoji sababu za kutelekezwa kwa maelekezo yake ya 2024 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishti Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali

Waziri wa Afya Jenista Mhagama amewataka wananchi wa Wilaya ya Same kutambua na kumiliki mafanikio ya Serikali kwa kutunza na kulinda miundimbinu inayowekezwa kwenye maeneo yao. Pia kujenga tabia ya kuenzi mabadiliko makubwa ya miundombinu ya huduma na uchumi ambayo…

Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani Pwani unaendelea kutekeleza miradi ya maji 35, ambayo ikikamilika itanufaisha wakazi 180,000. Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kutoka asilimia 80.3…

Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kikanda wa baraza la viwanja vya ndege Afrika (ACI) na maonesho ya wadau utakaofanyika April mwaka huu mkoani Arusha na kuambatana na mkutano wa 73 wa Bodi ya…