JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme. Akizungumza wakati wa kampeni hiyo kwa Mkoa wa…

Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI imeelekeza shule zote nchini kuhakikisha zinaunda Kamati za Ulinzi wa Watoto ili kukabiliana na vitendo vya ukatili na maadili yasiyofaa kwa watoto ambayo hupelekea kuiga tabia mbaya hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao. Agizo hilo…

Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa ajili ya…

Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kumshikilia Dkt. Wilbroad Silaa baada ya kumkamata usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2024. Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Jumanne Murilo amethibitisha leo Januari 10, 2025 “Daktari…

Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo kikuu cha kushindilia gesi asilia (CNG) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam. Ametangaza kuwa kituo hicho,…

Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameagiza kuwa ifikapo Januari 20 bajaji na bodaboda hazitaruhusiwa kufika mjini na maeneo yote ya katikati ya mji. Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo yake leo January 9, 2025 jijini Dar es…