JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko

📌 Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari 📌 Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….

Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 33 wanaotumikia adhabu za makosa yoyote katika Chuo cha Mafunzo katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Januari 11, mwaka huu na Msemaji…

Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Licha ya jitihada zinazofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kuhakikisha waliokidhi vigezo wanapata namba za Nida/ au vitambulisho kwa haraka lakini kumekuwa na changamoto ya baadhi ya watu kujisajili zaidi ya…

Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema ipo tayari kusikiliza maoni ya kila mmoja ili kuhakikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inakuwa halisi na shirikishi. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na…

Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mh.Stanslaus Haroon Nyongo (Mb,)ameziomba Asasi za Kiraia (AZAKI) kufanya majadiliano ya pamoja badala ya kujikita kwenye ukosoaji, ili kujenga uelewa wa pamoja utakaofanikisha…