JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Maria Sarungi atekwa Nairobi

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amesty International nchini Kenya limeripoti kutekwa kwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Mtanzania Maria Sarungi Tshehai leo katika eneo la Kilimani jijini Nairobi Nchini Kenya. Taarifa ya Shirika hilo imesema watekaji…

Ulega atoa miezi mitatu daraja Lukuledi likamilike

WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika barabara hiyo…

Serikali kupunguza uhaba wa walimu, kufanya usaili wa kujaza nafasi 14,648

SERIKALI inatarajia kuanza kufanya usaili wa kujaza nafasi 14,648 kwa kada ya walimu kwa shule za msingi na sekondari unaolenga kupunguza uhaba nchini. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa vibali vya ajira 155,008 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani…