JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Lori laua 11 waliokwenda kutoa msaada kwenye ajali Segera mkoani Tanga

Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga WATU 11 wamefariki dunia katika Kijiji cha Changโ€™ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji baada ya kupoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani walipokuwa wakishanga ajali ya gari…

DAWASA, wananchi Mshikamano wajadiliana uboreshaji huduma maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesema inaendelea na mchakato wa manunuzi ya pampu zitakazosaidia kuongeza ufanisi katika mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu ambao husambaza maji katika maeneo…

Waandishi na wachapishaji vitabu kukutana kesho Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imeandaa mkutano wa waandishi na wachapishaji wa vitabu kuhusu Sheria ya amana kwenye maktaba mtandao wa taifa na ununuzi wa vitabu kwa ukuzaji wa soko la…

Megawati 30 za jotoardhi kuingia kwenye gridi ifikapo 2026/ 2027 – Dk Kazungu

๐Ÿ“Œ Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA ๐Ÿ“Œ Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi ๐Ÿ“Œ Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa…

Maria Sarungi ahusisha utekaji wake na ukosoaji wa Serikali ya Tanzania

Mwanaharakati maarufu wa Tanzania, Maria Sarungi, amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na msimamo wake wa kukosoa Serikali ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi baada ya kuachiwa huru, Maria alidai kuwa watekaji wake walionyesha nia ya…